Uncategorized

MBABE WA YANGA AREJEA SIMBA

admin January 15, 2020 10:57 pm

Uongozi wa klabu ya Simba umeamua kumrejesha winga wake wa zamani Shiza Kichuya.

Mchezaji huyo alikuwa sehemu ya kikosi cha kikosi cha wekundu hao wa Msimbazi hapo awali kabla ya kuelekea Misri kucheza soka la kulipwa.

Haijafahamika kipi kimemkuta Kichuya huko Misri lakini mabosi wake wa zamani wameamua kumrejesha kazini Msimbazi.

Inaelezwa kuwa Kichuya amesaini mkataba wa miaka miwili.
TSHISHIMBI AONDOKA YANGA KAGERA SUGAR: HAKUNA TIMU NINAYOIGOPA, NIKIFUNGWA NAFUNGWA KWELI, NIKIFUNGA NAFUNGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply