MHALIFU ALIYEWAPIGA WANAHABARI MIKWARA, AIBUKA NA NYINGINE KALI MAHAKAMANI LEO
Hamis Luwongo anayetuhumiwa kumuua na kumchoma moto mkewe, Naomi Marijani amezua kioja kingine Mahakamani Kisutu baada ya kuiomba mahakama impatie simu zake mbili, atoe pesa…