KAKOLANYA AWAPANIA YANGA
Kwa jinsi Beno Kakolanya alivyoipania Azam, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Yanga lazima udenda uwatoke. Simba na Azam FC zitacheza kwenye mchezo wa Ngao ya…
Kwa jinsi Beno Kakolanya alivyoipania Azam, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Yanga lazima udenda uwatoke. Simba na Azam FC zitacheza kwenye mchezo wa Ngao ya…
Hatua ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa klabu ya Simba ulipofikia huko Bunju, jijini Dar es Salaam.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza marefa sita ambao watachezesha mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam FC,…
LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems ametoa…
Ramadhan KabwiliMustafa SelemanGustava SaimonAlly AllyKelvin YondanAbdul MakameMaybin KalengoFeisal SalimDavid MolingaRaphael DaudDeus KasekeAkibaFarouk ShikaloJaffary MohamedSaid JumaJuma AbdulIssa Bigirimana
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa ngao ya jamii kati ya Simba na Azam FC uwanja wa Taifa kikosi cha Simba kitawakosa nyota wake watatu…
MATAJIRI wa Sinza, timu ya Global FC, leo Ijumaa wanatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na timu ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji cha Dar…
Mshambuliaji kutoka Elias Maguri amejiunga na klabu ya Nakambala Leopards FC inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia.Maguri amejiunga na Nakambala kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja…
DAR ES SALAAM: Zile tetesi za staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kuwa anataka kusepa kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), zimeendelea ‘kutibua’…
KIPA tegemeo wa Township Rollers, Wagarre Dikago amekiri kutoka moyoni kwamba kuna mchezaji mmoja tu anamnyima usingiza ndani ya Yanga ambaye ni Patrick Sibomana.Straika huyo…