KUMBE! ROLLERS YAIPELEKA YANGA KILIMANJARO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya kukimbilia Kilimanjaro kuweka kambi ni mazingira ya mkoa huo kuendana na yale ya nchini Botswana wanakotokea wabaya…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya kukimbilia Kilimanjaro kuweka kambi ni mazingira ya mkoa huo kuendana na yale ya nchini Botswana wanakotokea wabaya…
JULIANA Shonza, Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ameongoza msafara ulioipokea timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ ambayo imerejea…
FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa bado hajajua wachezaji wa Yanga ambao hawajajiunga na kikosi watarejea lini kwa sasa.Juma Abdul na Andrew Vincent…
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetaja sababu kubwa iliyofanya kuurejesha mchezo wa ngao ya jamii kati ya Simba na Azam FC uwanja wa Taifa ni…
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amesema kuwa mfumo wa sasa wa komputya wa VAR unaua utamu wa soka halisi la awali.City imeanza kutupa kete…
POLISI wa Korea Kusini wameanza kufuatilia suala la Cristiano Ronaldo kugomea kucheza mechi ya kirafiki kati ya Juventus dhidi ya Kombaini ya mastaa wanaocheza Ligi…
MSANII nguli kwenye muziki wa Bongo fleva, Mr. Blue amesema kuwa leo atatoa burudani ambayo haina mfano kwenye ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live…
HAMISA Mobeto, mwanamitindo na mwanamuziki amewaambia mashabiki wake kujitokeza kwa wingi leo Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem kupata burudani…
KOCHA Mkuu wa Township Rollers,Thomas Truch, Kocha Mkuu wa Township Rollers amesema kuwa kikosi chake kina kazi ngumu ya kufanya mbele ya Yanga baada ya…
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba, ametoa tahadhari kwa wachezaji wenzake akisema kwamba hawatakiwi kuwachukulia kirahisi wapinzani wao UD do Songo. Simba itamenyana na UD Songo…