Uncategorized

HAMISA MOBETO LEO KUPIGA LIVE NA BENDI YAKE DAR LIVE, AWAITA MASHABIKI

admin August 12, 2019 1:39 pm


HAMISA Mobeto, mwanamitindo na mwanamuziki amewaambia mashabiki wake kujitokeza kwa wingi leo Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem kupata burudani kutoka kwake.

Mobeto amesema: “Kikubwa watu watarajie burudani kali kutoka kwangu, watu waje kwa wingi niwape burudani bila kikomo.

“Najua wengi wana hamu ya kumuona Mobeto, hivyo fursa ndiyo hii na siyo ya kukosa kabisa kwani kwa mara ya kwanza nitaimba nyimbo zangu live kwa kutumia bendi kuanzia wimbo wa Sawa, My Love, Tunapendana na nyingine nyingi,” amesema Mobeto.
Katika tamasha hilo kiingilio kitakuwa ni Sh 5,000 tu, wasanii wengine watakaokuwepo ni Mr. Blue, Chidi Benz, Mzee wa Bwax na Easy Man.
ROLLERS: MUZIKI WA YANGA SIO WA KITOTO, TUNAJIPANGA KUPATA MATOKEO BLUE KUKUSANYA KIJIJI LEO MBAGALA, KUPIGA SHOO YA KIBABE MFANO HAKUNA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply