NJAA ALIYONAYO KAGERE, IINGIE KWENU ILI MPIGANIE MAFANIKIO
Na Saleh Ally WIKIENDI hii msimu mpya wa 2019/20, utaanza rasmi katika sehemu mbalimbali duniani. Tunaanza kuona mpira wa ushindani na kujifunza mengi wakati tukiburudika.…
Na Saleh Ally WIKIENDI hii msimu mpya wa 2019/20, utaanza rasmi katika sehemu mbalimbali duniani. Tunaanza kuona mpira wa ushindani na kujifunza mengi wakati tukiburudika.…
NA SALEH ALLY KESHO Yanga watakuwa kazini kuwawakilisha Wanayanga na Watanzania katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Township Rollers kutoka nchini Botswana. Rollers…
MANCHESTER United imethibitisha kuwa nyota wao mpya Harry Maguire na kiungo wao fundi, Paul Pogba wataanza kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu England dhidi…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa sasa wameshatia timu nchini Msumbuji kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa kesho…
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi ya nguvu kuelekea msimu ujao.Singida United imejichimbia Singida kwa sasa kwa maandalizi ya msimu…
WAPINZANI wa Yanga kimataifa timu ya Township Rollers wameanza kuwasomea ramani wapinzani wao Yanga kabla ya kesho kwa kuiba mbinu zao kabla ya kukutana nao…
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa msimu ujao umejipanga kufanya maajabu kwa kupata matokeo chanya.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli Clement Sanga amesema kuwa…
KUELEKEA kwenye michezo ya kiamataifa ambayo inatarajia kuanza kesho kwa timu nne za Tanzania kupeperusha Bendera ya Kimataifa, Uongozi wa Simba umewazuia mashabiki wa Simba…
DANIEL Farke, bosi wa Norwich City leo amesema kuwa ana kazi ngumu leo mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu England mchezo…
HAWA hapa nyota nane wa Simba wamebaki Bongo wakati kikosi kikwea pipa leo kuelekea Msumbiji:-Said NdemlaYusuf MlipiliKennedy JumaAishi ManulaWilker da Silver.Ibrahim AjibHaruna ShamteMiraj Athuman