Uncategorized

MAANDALIZI NDANI YA SINGIDA UNITED YAMEPAMBA MOTO

admin August 9, 2019 1:19 pm


UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi ya nguvu kuelekea msimu ujao.

Singida United imejichimbia Singida kwa sasa kwa maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa kikosi kipo sawa kwa ajili ya msimu ujao na maandalizi yaaendelea.

“Kwa sasa kikosi kipo kambini na maandalizi kwa ajili ya msimu ujao yanaendelea, matumaini yetu ni kufanya vizuri.

“Wachezaji wetu wapo vema wanasubiri masaa ya kuanza kuonyesha maajabu kwa kile amabacho wamejiifunza,” amesema.

LIPULI YAPANIA KUFANYA MAAJABU MSIMU UJAO WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA WANYAKA MAFAILI YANGA WANA KAZI YA ZIADA KESHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply