Uncategorized

LIPULI YAPANIA KUFANYA MAAJABU MSIMU UJAO

admin August 9, 2019 1:04 pm


UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa msimu ujao umejipanga kufanya maajabu kwa kupata matokeo chanya.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli  Clement Sanga amesema kuwa malengo kwa kila timu ni kufanya vizuri nao wamejipanga kuleta ushindani msimu ujao.

“Tupo vizuri na tumejipanga sawa kama ambavyo wengine wanajipanga, tunaamini tutaleta ushindani mkubwa msimu ujao.

“Kwa sasa maandalizi yamepamba moto vijana wanajiweka fiti kuelekea Agosti 23 ambapo ligi inatarajiwa kuanza,” amesema.

Msimu ujao Lipuli itamkosa mchawi wa mipira iliyokufa, Haruna Shamte ambaye ametimkia klabu ya Simba akiwa pamoja na Miraj Athuman.

SIMBA YAWAZUIA MASHABIKI KUIZOMEA YANGA, HAYA NDIO MAAMUZI YA UONGOZI KIMATAIFA MAANDALIZI NDANI YA SINGIDA UNITED YAMEPAMBA MOTO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply