AZAM FC WABABE WA POLISI TANZANIA, WAIPIGA KIDUDE KIMOJA
PAUL Peter, mshambuliaji wa Azam FC leo amefunga bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania.Mchezo huo wa kirafiki umechezwa uwanja…
PAUL Peter, mshambuliaji wa Azam FC leo amefunga bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania.Mchezo huo wa kirafiki umechezwa uwanja…
Moto wa Simba balaa, Mkude atoa neno na Yanga ni noma Straika atumika kutapeli ni kesho ndani ya CHAMPIONI Ijumaa
ETIENNE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” amefanya mabadiliko katika kikosi kutokana na baadhi ya wachezaji kuwa majeruhi.Wachezaji walioondolewa…
Na Saleh Ally MSIMU mpya unakaribia kuanza na hali inaonyesha ushindani utakuwa wa juu na hasa kama wanaosimamia mpira wa Tanzania watakuwa makini. Kutakuwa na…
Klabu ya Ittihad kutoka katika jiji la Alexandria nchini Misri imefanikiwa kukata mzizi wa fitna baada ya kumsainisha nyota Emmanuel Okwi wa Uganda. Okwi aliyekuwa…
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa Agosti 4 haitakuwa nyepesi kwani wanacheza na timu ngumu na watatambulisha pia wachezaji.Ten amesema:- “Uwanja wa Taifa…
GARETH Bale akiwa ndani ya Real Madrid na mabosi zake tofauti kwa misimu tofauti alikuwa namna hii kwa upande wa rekodi zake za kucheza:- Msimu wa…
PAULO Dybala nyota wa Juventus na timu ya Taifa ya Argentina bado hajajua afanye maamuzi gani kwa sasa kama ni kutimka ndani ya kikosi hicho…
KIKOSI cha Azam FC leo kitajaribu mitambo yake mipya mbele ya kikosi cha Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki.Mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani…
erified SIMBA leo wametangaza kuingia mkataba mwingine na benki ya Equity ambao una malengo ya kusimamamia mradi wa kadi mpya za za wanachama na mashabiki…