SIMBA NI MWENDO WA DOZI TU AFRIKA KUSINI
SIMBA hawataki utani msimu wa 2018-19, wakati Meddie Kagere, Francis Kahata, Deo Kanda na Sharaf Shiboub wakinogesha kambi leo tena dozi imeendelea kama kawaida.Simba kambini…
SIMBA hawataki utani msimu wa 2018-19, wakati Meddie Kagere, Francis Kahata, Deo Kanda na Sharaf Shiboub wakinogesha kambi leo tena dozi imeendelea kama kawaida.Simba kambini…
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa hakuna wanachofikiria zaidi ya ubingwa.Azam FC imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuibamiza…
SELEMAN Matola Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa bado wachezaji wawili ili akamilishe kukisuka kikosi chake kipya.Matola amesema kuwa hadi sasa amesajili wachezaji 11 kati…
MCHEZO wa fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) kati ya Senegal na Algeria, unachezwa leo Ijumaa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Cairo…
Kampuni ya simu maarufu nchini TECNO mobile imeongeza mkataba wake na klabu bingwa ya England yenye makazi yake jijini Manchester, yaani Manchester City. Mkataba huo…
PEP Guardiola Meneja wa Manchester City amesema kuwa kwenye kikosi chake kama kuna mchezaji anataka kusepa ruksa yeye hana hiyana anachotaka kuona kila mchezaji awe…
DEOGRATIUS Munish ‘Dida’ inaelezwa kuwa anawindwa na timu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar ili kuziba pengo la Benedict Tinnoco ambaye amejiunga na Kagera Sugar.…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa hana hofu na kukosa namba kwani ushindani upo sehemu zote. Ajibu amejiunga na Simba msimu huu akitokea…
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa leo watapambana na Manyema FC ili kutinga hatua ya fainali kombe la Kagame na kuteta kombe…
KALIDOU Koulibary beki mahiri wa timu ya Taifa ya Senegal leo ataukosa mchezo wa fainali kwenye michuano ya Afcon dhidi ya Algeria nchini Misri. Hii…