Uncategorized

DIDA AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR, AITAJA AFRIKA KUSINI

admin July 19, 2019 5:02 am


DEOGRATIUS Munish ‘Dida’ inaelezwa kuwa anawindwa na timu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar ili kuziba pengo la Benedict Tinnoco ambaye amejiunga na Kagera Sugar.


Dida kwa sasa ni mchezaji huru ambaye mkataba wake na Simba umekamilika na hajaongezewa mwingine.

Dida amesema kuwa bado yupo kwenye mazungumzo na timu nyingi ambazo zinahitaji huduma yake wakati ukifika atazitaja.

“Kuna timu nyingi ambazo nipo nazo kwenye mazungumzo, muda ukifika nitazitaja, kuna ofa kutoka timu kubwa nje ya Bongo pamoja na nyingine za ndani,” amesema.
ISHU YA KUGOMBANIA NAMBA NA CHAMA, KAHATA KWA AJIBU IPO HIVI MANCHESTER CITY YAMTOLEA UVIVU LEROY SANE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply