Latest Posts

LIONEL MESSI ALIA NA WAAMUZI

Lionel Messi mshambuliaji wa timu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina amesem kuwa timu yao ya Taifa imeponzwa na maamuzi ya waamuzi kwenye…

AZAM FC KUKWEA PIPA KESHO KUELEKEA RWANDA

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije ameahidi kutetea ubingwa wa kombe la Kagame ambalo linatarajiwa kuanza Julai 7-21 nchini Rwanda.Azam FC ni watetezi wa…

COASTAL UNION YAMKOMALIA KIBA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa nyota wa timu hiyo ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Ally Kiba yupo sana ndani…

MRITHI WA SARRI, LAMPARD KUTANGAZWA KESHO

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard atatangazwa kama kocha mpya wa kikosi cha Chelsea kuja akichukua mikoba ya Maurizio Sarri. Sarri ametimkia kukinoa kikosi cha…

SIMBA KUKIPIGA NA ARSENAL KWA MKAPA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba na mwekezaji wa Klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameonekana akiwa na jezi ya Timu ya Arsenal…