Mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard atatangazwa kama kocha mpya wa kikosi cha Chelsea kuja akichukua mikoba ya Maurizio Sarri.
Sarri ametimkia kukinoa kikosi cha Juventus na tayari ameshatambulishwa.
Wengi wanampa nafasi ya kufanya vizuri kwa kigeo cha kuitambua vema timu yake hiyo ya zamani.