Latest Posts

MWAMBUSI ARUDI MBEYA CITY, ASAINI MWAKA

KOCHA Juma Mwambusi amerejea nyumbani pale Mbeya City na kusaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuinoa timu hiyo msimu ujao.Mwambusi ndiye aliyeipandisha daraja…

HATMA YA OKWI, JUUKO YATOLEWA SIMBA

WAKATI kukiwa na taarifa za nyota wengi wa Simba akiwemo Juuko Murshid na Emmanuel Okwi kutokuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao,…

TP MAZEMBE YAKUMBUSHIA DILI LA AJIBU

BAADA ya mawakala wa TP Mazembe kutua nchini Tanzania wiki hii kwa ajili ya kunasa baadhi ya saini za wachezaji mbalimbali, imebainika kuwa wameamua kumuungia…

KOTEI AMUIBUA JULIO SIMBA

Baada ya iliyopita Jumatano kusambaa taarifa zinazomuhusu kiungo wa Simba, James Kotei kutimkia katika Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini, aliyewahi kuwa kocha wa…

PIERRE AUBAMEYANG AIVURUGA ARSENAL

PIERRE Aubameyang mshambuliaji wa Arsenal amezua taharuki baada ya kusema kwamba yupo tayari kutua Manchester United msimu ujao.Aubameyang amekuwa akihusishwa kujiunga na United ili akazibe…