SIMBA WASAJILI MSHAMBULIAJI MBRAZIL, KUWAONGEZEA NGUVU KAGERE, BOCCO
Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wameongeza nguvu katika safu yao ya ushambulizi baada ya kumsajili, Wilker Henrique da Silva kutoka nchini Brazil. Wilker amejiunga na…
Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wameongeza nguvu katika safu yao ya ushambulizi baada ya kumsajili, Wilker Henrique da Silva kutoka nchini Brazil. Wilker amejiunga na…
IMEBAINIKA kuwa Simba walikuwa wanawaonea wivu Yanga baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo…
Klabu ya Simba imepanga kuwatema wachezaji saba wa kigeni ndani ya klabu hiyo, imeelezwa.Wachezaji wanaotajwa ni kiungo Haruna Niyonzima, James Kotea raia wa Ghana, Juuko…
Na Saleh Ally MABINGWA wa soka Tanzania, Simba wamemchukua mmoja wa viungo bora kabisa barani Afrika, huyu ni Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman kutoka nchini…
NA SALEH ALLYUSAJILI umekuwa ukipamba moto kwa kilaklabu kwa sasa. Kila upande unataka kujiwekavizuri kwa ajili ya msimu ujao.Hili si zoezi geni kutokea katika mchezo…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemruhusu beki wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Hassan Kessy,kucheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Senegal, utakaofanyika Juni…
NAHODHA wa Kenya, Victor Wanyama amewaonya wale wote wanaozibeza Harambee Stars na timu ya Taifa ya Tanzania katika kundi la Tatu la michuano ya CAN…
MWENDO wa hesabu kali Kwa sasa ukizingatia kwamba tumekwama kwa muda wa miaka 39 tukishuhudia wengine wakionyesha maajabu yao kwenye michuano mikubwa ya Afcon sasa…
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya ushindi wa Taifa Stars amesema kuwa Watanzania tuisapoti Timu yetu ya…