MFUMO BONASI ZA WACHEZAJI SIMBA WAPANGULIWA….MASTAA AKULIPWA MIL 100 KWA MECHI 5..
Inaelezwa uongozi wa Simba SC, umeongeza hamasa ya kutafuta ushindi, ambapo kila baada ya ushindi kwenye michezo mitano wachezaji wanapewa Bonus ya shilingi milioni mia…