KUELEKEA MECHI YA KESHO…..YANGA KUWAKOSA MASTAA HAWA SABA…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amesema pamoja na kwamba atawakosa mastaa wake kwenye mchezo wa kesho, bado wapo tayari kuhakikisha wanaibuka na ushindi. Yanga ambayo…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amesema pamoja na kwamba atawakosa mastaa wake kwenye mchezo wa kesho, bado wapo tayari kuhakikisha wanaibuka na ushindi. Yanga ambayo…
BAADA ya straika mpya wa Yanga, Joseph Guede kutua kambini kuungana na wenzake mazoezini, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi aliamua kumchomoa kundini kisha…
TAIFA Stars imeondoshwa kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zinazoendelea kule Ivory Coast. Imeishia katika hatua ya makundi. Imeshika mkia katika…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu ya 29/1/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL.
WAKATI mjadala wa kutojulikana kwa Pacome Zouzoua kwao Ivory Coast ukiwa unapamba moto kwa mashabiki kushambuliana, kocha Mfaransa aliyempandisha kiungo huyo amecheka kwa dharau kisha…
Klabu ya Young Africans ipo tayari kuchukua dau lolote litakalowekwa mezani kwa ajili ya kumalizana na nyota wao raia wa Burkin Faso, Stephane Aziz Ki…
YANGA baada ya kucheza mechi 11 za Ligi Kuu Bara imeambulia ushindi kwenye mechi 10 ikipoteza mchezo mmoja ikiwa haijapata sare ndani ya msimu wa…
AZAM Sports Federation Cup 2023/24 raundi ya pili inatarajiwa kupigwa ndani ya Januari baada ya ratiba kupangwa. Tayari Simba na Yanga wameshawajua wapinzani wao kwenye…
UONGOZI wa Simba umefunguka kuhusu kile kinachoeleza juu ya beki wao Enock Inonga kuwindwa na aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi anayekinoa kikosi…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la Leo Jumapili ya 28/1/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL.