Habari za michezo
Habari za michezo

HUKU AFCON IKIENDELEA…SIMBA NA YANGA MZIGONI TENA…..BURUDANI KAMA KAWA

admin January 28, 2024 8:26 pm

AZAM Sports Federation Cup 2023/24 raundi ya pili inatarajiwa kupigwa ndani ya Januari baada ya ratiba kupangwa.

Tayari Simba na Yanga wameshawajua wapinzani wao kwenye hatua hiyo ambapo mechi zinachezwa kwa mtindo wa mtoano atakayepoteza mchezo safari inamkuta.

Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi za nyumbani itamenyana na Dar City Januari 31 saa 10:00 jioni.

Mabingwa watetezi Yanga watavaana na Hausing FC Januari 30 Saa 1:00 usiku, Uwanja wa Azam Complex.

Mtibwa Sugar watamenyana na Nyakagwe FC, Januari 30 Uwanja wa Manungu Complex Saa 10:00 jioni.

Simba itacheza na Tembo FC Januari 31 ambapo muda na uwanja vitatajwa hivi karibuni.

RASMI….SIMBA WATOA TAMKO HILI ISHU YA INONGA KUTAKIWA NA FAR RABAT YA NABI… KUELEKEA MECHI YA LIGI…HILI HAPA BALAA LA YANGA YA GAMONDI….JE MOTO BADO UPO..?

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply