KUELEKEA MECHI YA LIGI NA AZAM FC…MASTAA SIMBA WAPEWA ‘HONEY MOON’ YA SIKU 10…
KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha wamewapa mapumziko ya siku 10 wachezaji wake ambapo watarejea kambini Januari 24 mwaka huu, kujiandaa na mechi mbalimbali za mashindano…