HUU HAPA UTAJIRI WA MASHINDANO YA AFCON….TIMU ZA TAIFA KULAMBA MAMILIONI YA PESA…
MBALI ya wachezaji mbalimbali kukomalia michuano ya Mataifa ya Afrika kizalendo zaidi kwa ajili ya mataifa yao, sababu nyingine zinazofanya wachezaji waonyeshe hali ya kupambana…