ENG HERSI AFUNGUKA SIRI YA USAJILI YANGA….AANIKA ALIVYOMNYAKUA AZIZI KI KININJA…
Rais wa Yanga, Hersi Said amesema siri ya kusajili wahezaji bora kipindi cha hivi karibuni akikiri kuwa ni mchakato na kutambua upungufu wa timu kabla…
Rais wa Yanga, Hersi Said amesema siri ya kusajili wahezaji bora kipindi cha hivi karibuni akikiri kuwa ni mchakato na kutambua upungufu wa timu kabla…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha, amewasilisha jina la kiungo wa zamani wa Paide Linnameeskond nchini Estonia, Babou Cham raia wa Gambia kwa ajili…
Mabingwa wa zamani wa soka barani ulaya wameonekana wameanza kupata uelekea sahihi na hii ni kutokana na ubora ambao wameuonesha katika michezo kadhaa iliyopita na…
Baada ya kuhusishwa kujiunga na Young Africans, winga wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Simon Msuva kwa mara ya kwanza tangu aachane na timu ya…
IMEFICHUKA kuwa, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ameenda Ulaya akiwa na hesabu za kukamilisha usajili wa kushtua iwapo atafanikiwa kumnasa straika anayecheza soka barani…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha sasa ana amani ya moyo mara baada ya timu hiyo kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji raia wa Senegal,…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na Klabu ya Young Africans Augustine Okrah, anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki tatu, akiendelea kuuguza majeraha yake. Nyota…
Nasikia kuna watu wamepagawa sana na mchezo wa AVIATOR yani huwaambii kitu, lakini kuna michezo mingi sana ya kupiga hela kirahisi kama huu mchezo wa…
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Stars, Adel Amrouche amesema bado ana kazi ya kufanya kwa wachezaji wake wote kucheza kwa uwiano mzuri kabla ya…
UONGOZI wa Simba umesema hawajapokea barua kutoka klabu ya JS Kabylie ya Algeria au timu yoyote inayomuhutaji huduma ya kiungo wao mshambuliaji, Willy Essomba Onana…