Meridianbet
Habari za michezo

KUELEKEA MECHI YA FA LEO….WEKA TUMAINI LAKO KWENYE ODD ZA CHELSEA NDANI YA MERIDIANBET

admin January 9, 2024 9:44 pm

Mabingwa wa zamani wa soka barani ulaya wameonekana wameanza kupata uelekea sahihi na hii ni kutokana na ubora ambao wameuonesha katika michezo kadhaa iliyopita na kuweza kupata matokeo mazuri.

Matumaini yameanza kufufuka vijana hao wa Mauricio Pochettino ikiwa ndio msimu tu umegawanyika, Hivo hii ni dalili nzuri katika mzunguko huu wa pili kwani kama wanaweza kushikilia wanachofanya wanaweza kufanya makubwa zaidi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Licha kuwepo nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza lakini haiondoi kua matajiri hao wa jiji la London wameanza kuonesha mabadiliko katika michezo yao, Hivo kutoa matumaini makubwa kwa mashabiki wa klabu hiyo.

Moja ya matatizo ambayo yalikua yanaiandama klabu ya Chelsea ni pamoja na majeraha ambayo yamekua yakiwandama baadhi ya wachezaji wao wa kikosi cha kwanza, Ikielezwa ni moja ya sababu zilizofanya klabu hiyo kutokufanya vizuri.

Klabu ya Chelsea mpaka sasa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Carabao Cup na leo watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Middlesbrough, Hii imechangiwa na michezo yao mitatu ya hivi karibuni ambayo wamecheza.

Vijana wa kocha Pochettino ni wazi wameanza kuibua matumaini kwa mashabiki wa klabu hiyo ambao ni kama walianza kuikatia tamaa timu yao, Lakini hivi karibuni klabu hiyo imeonesha mabadiliko makubwa katika michezo yake ambayo imecheza.

Kilichobakia kwa klabu ya Chelsea kwasasa ni muendelezo wa ambacho imekua ikikifanya hivi karibuni ili kuweza kurejea kwenye ubora wao ambao wamekua nao kwa takribani misimu mitatu iliyopita ambayo walifanikiwa kutwaa taji la ulaya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.

KUHUSU KUSAJILIWA NA YANGA…MSUVA AVUNJA UKIMYA….AFUNGUKA MSIMAMO WAKE…. KATI YA HAWA MMOJA KUMRITHI CHAMA SIMBA….BENCHIKHA KAPITISHA USAJILI WA HUYU KWANZA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply