BAADA YA KUSAINI JANA….THAMANI YA CHASAMBI YAPANDA GHAFLA…SIMBA KUMUUZA KWA BIL 2..
WINGA mpya wa Simba, Ladack Chasambi amesema anatambua kuwa amejiunga na timu yenye wachezaji wakubwa na anatarajia kupata ushindani mkubwa wa kuwania namba, lakini atahakikisha…