GAMONDI:- MECHI ZA MAPINDUZI CUP NI NGUMU BALAH….
KOCHA wa Yanga amesema kama kuna mtu anadhani mechi za Mapinduzi ni laini anakosea na kwamba hizo ni ngumu pengine kuliko Ligi Kuu Bara. Gamondi…
KOCHA wa Yanga amesema kama kuna mtu anadhani mechi za Mapinduzi ni laini anakosea na kwamba hizo ni ngumu pengine kuliko Ligi Kuu Bara. Gamondi…
Simba wakati wowote kutoka sasa itamtangaza winga wao mpya Ladack Chasambi ambaye tayari yupo kisiwani hapa tayari kwa utambulisho huo. Chasambi anayesajiliwa na Simba akitokea…
Wakati mashabiki wa Simba wakitamba kwamba watani wao Yanga wamewakimbia kwa kukubali kipigo mbele ya APR wamejibiwa wakiambiwa leteni barua ya kuomba mechi tukipige. Meneja…
Kwenye mchezo dhidi ya Jamhuri ,Yanga walicheza kawaida ila walikutana na timu ya kawaida wakaifunga magoli matano,mchezo dhidi ya Jamus walipata shida kupata ushindi na…
WIKI iliyopita pale Simba alitambulishwa kinda anayeitwa Saleh Masoud Karabaka. Alinunuliwa hapo hapo Zanzibar, akavaa jezi hapo hapo Zanzibar, akafunga bao hapo hapo Zanzibar. Wapo…
MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Misri ni kipimo tosha…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa yote yalitokea katika Kombe la Mapinduzi 2024 wanashukuru huku safari yao ikigotea robo fainali. Chini ya Miguel Gamondi…
Pitia ukurasa wa mbele wa leo Jumatatu ya 8/1/2024 wa gazeti la Mwanaspoti kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL.
Yanga imekubali kipigo cha mabao 3-1 mbele ya APR ya Rwanda na kutupwa nje ya mashindano huku mashabiki wa watani wao Simba wakiwacheka wakisema wamewakimbia.…
Anaandika Jemedari Saidi kupitia ukurasa wake wa kijamii,Kwa mujibu wa klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam Rais wake Eng. Hersi Said ambaye pia…