WAARABU WAINGIA MAZIMA MAZIMA KWA ONANA….KUTUMA OFA NONO KWA SIMBA KUMBEBA..
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imeonyesha nia ya kutaka kumsajili Willy Onana anayekipiga katika klabu ya Simba SC. Taarifa zinasema kuwa ofa itatumwa wiki…
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imeonyesha nia ya kutaka kumsajili Willy Onana anayekipiga katika klabu ya Simba SC. Taarifa zinasema kuwa ofa itatumwa wiki…
Juzi Simba ilishusha jembe usiku mnene kutoka Zimbabwe lililopandishwa boti kwenda kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 na juzi usiku jamaa alianza katika pambano…
Kipa Metacha Mnata na mshambuliaji Abdul Selemani ‘Sopu’ ni miongoni mwa wachezaji wanne wa Taifa Stars ambao hawajajumuishwa katika kikosi cha timu hiyo kitakachoshiriki Fainali…
KOCHA Mkuu wa Singida Fountain Gate, Msauzi Thabo Senong amewataka wachezaji wa timu hiyo kuongeza umakini na kuepuka makosa yanayoweza kuwagharimu wakati kikosi hicho kitakapopambana…
Kiungo mpya wa Simba, Babacar Sarr leo ameanza kazi ya kujifua na timu hiyo kwenye mazoezi ya timu hiyo yatakayofanyika nje ya Uwanja wa New…
Tetesi zinasema Simba imefanikiwa kuidaka saini ya kinda kutoka Tanzania Prisons winga Edwin Balua ambaye amekuwa na msimu Bora sana akiwa na maafande hao wa…
Kocha wa Simba, Abdelhak Benchikha amesema kwa sasa anaanza kufurahia ubora wachezaji ambao wameanza kuelewa kwa haraka falsafa anazotaka ndani ya timu hiyo, lakini akamtaja…
Jumapili ya mahela ndio leo hii ambapo mechi za FA zimepanga kutoa pesa kupitia meridianbet ukibashiri kwa dau lako dogo tuu kuanzia shilingi mia mbili.…
Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya marekebisho ya Katiba kama ilivyoelekezwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), huku maoni mengi ya wanachama yaliyotumwa kwenye…
Beki wa kati wa Simba SC, Che Malone amevunja ukimya na kueleza kuwa hana ugomvi na kipa wa timu hiyo, Ally Salim na kilichotokea katika…