KUELEKEA MECHI NA APR LEO…..MASTAA YANGA WAJIFUNGA ‘MSHIPI’ MAPEMAA…..
Kuelekea mchezo wa leo Jumapili dhidi ya APR ya Rwanda, Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Moussa Ndaw, amesema wamekiandaa kikosi vizuri kuhakikisha kinashinda, huku akibainisha…
Kuelekea mchezo wa leo Jumapili dhidi ya APR ya Rwanda, Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Moussa Ndaw, amesema wamekiandaa kikosi vizuri kuhakikisha kinashinda, huku akibainisha…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema usajili wa kiungo mkabaji, Babacar Sarr utaenda kutibu matatizo yote ya kiulinzi ya timu…
Dakika 45 zimetosha kumshawishi Kocha Mkuu wa Simba, Mualgeria, Abdelhak Benchikha kumbakisha kiungo wake mshambuliaji, Luis Miqquissone katika timu hiyo. Luis alikuwepo katika orodha ya…
NI nadra kwa wachezaji kuwasifia mastaa wenzao wanaocheza katika ligi moja, lakini kwa Kenny Mwambungu wa KMC kwake sio ishu sana, baada ya kuwataja Feisal…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi mjanja sana. Baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupigwa Kariakoo Derby katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 ameamua…
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itazawadiwa Dola milioni 7 ambazo sawa na Sh bilioni 17.56 endapo itachukua ubingwa wa Michuano ya Mataifa ya…
Kamati ya Nidhamu ya klabu ya Simba SC iliyokuwa imepanga kusikiliza kesi inayowahusu viungo wa timu hiyo, Clatous Chama na Nassor Kapama kwa njia ya…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Augustine Okrah anaendelea vyema na huenda akatumika katika mchezo unaofuta wa Kombe la Mapinduzi, ambapo Young Africans itakutana na APR…
Eeh bwana wee mzigo leo upo wa kutosha kupitia michuano ya kombe la FA ambapo leo nchini Uingereza itapigwa michezo kadhaa ambayo itatoa fursa ya…
UONGOZI wa Simba umemtambulisha kiungo mkabaji rai wa Senegal, Babacar Sarr kwa mkataba wa miaka miwili kujiunga na kikosi cha Wekundu hao wa Msimbazi kipindi…