SAUTI YA MASHABIKI SIMBA YAFIKIWA…TRY AGAIN AKUBALI YAISHE ….ANYOOSHA MIKONO JUU…
Uongozi wa Simba SC, umesema utakutana na baadhi ya wanachama wao kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu klabu yao. Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti…
Uongozi wa Simba SC, umesema utakutana na baadhi ya wanachama wao kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu klabu yao. Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi hataki masihara baada ya kuwapa mbinu mpya ya kufunga wachezaji wake wanapokuwa eneo la hatari la mpinzani. Hatua hiyo…
KLABU ya Yanga imetinga hatua ya tano bora kuwania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023. Ikumbukwe kwamba Yanga kwenye Kombe…
KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania katika kikao chake cha Novemba 14 imetoa maamuzi mbalimbali kutokana na mwenendo…
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars Adel Amrouche ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi…
Leo hii ikiwa ni Ijumaa, timu nzima ya Meridianbet imefika katika eneo la Kimara na Mbezi na kutoa Reflectors kwa boda boda wa maeneo hayo…
Kocha wa zamani wa Simba, Sven Vandenbroeck amesifia mashabiki wa klabu hiyo lakini akataja changamoto zilizoko kwenye viwanja vya mikoani. Amekwenda mbali zaidi na kufunguka…
Kuhusu mabango ya Yanga ambayo yamewekwa sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam yakionyesha matokeo ya kuifunga Simba mabao 5-1, uongozi wa Simba umetoa kauli. Meneja…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewataka mashabiki kusahau yaliyopita na kujitokeza uwanjani. Ahmed ameyasema hayo leo alipokuwa kwenye mkutano na…
Mshambuliaji wa Simba, Shaaban Chilunda ana kazi ya kujitetea mwenyewe uwanjani, ili kuwaonyesha viongozi wa klabu hiyo hawakukosea kumsajili, kwani usajili wake uliwashitua mashabiki wengi.…