UKIACHANA NA KIPUTE CHA SIMBE LEO….YANGA WAINGIA MTEGO WA AZAM FC….
DERBY ya kibabe inatarajiwa kuunguruma Jumatatu katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi Jijini Dar es Salaam ikiwa na vita ya kukaa kileleni mwa msimamo wa…
DERBY ya kibabe inatarajiwa kuunguruma Jumatatu katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi Jijini Dar es Salaam ikiwa na vita ya kukaa kileleni mwa msimamo wa…
STRAIKA wa zamani wa Simba, Felix Sunzu anaamini ili timu hiyo ifanye vizuri kesho dhidi ya Al Ahly ya Misri, benchi la ufundi linapaswa kupiga…
Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema maandalizi yamekamilika na sasa kikosi chake kinasubiri muda ufike wakatafute alama tatu dhidi ya Al Ahly kesho…
Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis, amepewa jukumu zito la kuhakikisha anatumia aina yake uchezaji ya spidi kuivuruga safu ya ulinzi ya Al Ahly.…
Meridianbet na promosheni ya kufungia mwezi oktoba kupitia mchezo pendwa ndani ya kasino ya mtandaoni, paa bure kila siku kuwa na meridanbet kwenye mchezo bora…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa hana presha yoyote kuelekea mchezo wa kesho wa ufunguzi wa michuano ya African Football League…
WACHEZAJI wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili ya robo fainali ya AFL…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Jemedari Said Bin Kazumari amesema kuwa Klabu ya Simba imewaacha mbali wapinzani wao Yanga SC kwenye soka la Kimataifa.…
Ikiwa imetinga hatua ya makundi ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga inajipanga kusajili wachezaji wapya watatu katika usajili wa dirisha dogo kwa lengo…
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah “Fei Toto’, ametuma ujumbe mzito kwa waajiri wake wa zamani Young Africans kuelekea mchezo wao wa Oktoba 25,…