SIMBA WAISHTUKIA JANJA JANJA YA AL AHLY….MSIMAMO WAO MPYA HUU HAPA…
Uongozi wa Simba SC ni kama umewashtukia wapinzani wao kwenye mashindano ya Africa Football League (AFL), Al Ahly ambao wamewazuia nyota wao kwenda kwenye majukumu…
Uongozi wa Simba SC ni kama umewashtukia wapinzani wao kwenye mashindano ya Africa Football League (AFL), Al Ahly ambao wamewazuia nyota wao kwenda kwenye majukumu…
Hii inaweza kuwa mara ya kwanza kushuhudiwa miamba ya soka la Bara, Simba na Yanga ikiungana kwenye oparesheni mbili tofauti dhidi ya mpinzani mmoja ambaye…
Mlinda Lango Aishi Manula huenda akaanza katika kikosi cha Simba SC kesho Jumamosi (Oktoba 14), kwenye mchezo wa Kirafiki ambao ni sehemu ya kujiandaa na…
SIMBA jana ilizindua jezi mpya za michuano mipya ya African Football League (Super League) ikijiandaa kuvaana na Al Ahly ya Misri, lakini kocha wa timu…
KIKOSI cha Yanga kinajifua kwa mazoezi makali ajili ya pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC litakalopigwa Oktoba 25, huku kocha wa timu…
Kama watakuwemo kwenye vikosi vya timu zao za taifa vitakavyoshiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) mwakani huko Ivory Coast, Fiston Mayele na Clatous Chama…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amefunguka kuwa, amefuatilia timu anazokutana nazo kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kudai…
Ifanye Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake ya bahati tangu akiwa Manchester…
Ukarabati wa awamu ya kwanza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam umefikia asilimia 95 na zilizobaki zinatarajiwa kukamilika keshokutwa Jumamosi (Oktoba 14). Akikagua…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwatambua wapinzani wao katika hatua ya makundi, watacheza kwa kutafuta ushindi…