JE YANGA KUCHUKUA UBINGWA LIGI KUU?…HESABU KAMILI HIZI HAPA
Kimahesabu ya kimpira, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zilikamilika siku ile ambayo Simba ilipoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Yanga katika mechi…
Kimahesabu ya kimpira, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zilikamilika siku ile ambayo Simba ilipoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Yanga katika mechi…
Beki wa Yanga, Shomari Kibwana ni kati ya wachezaji ndani wa kikosi hicho ambao mikataba yao inaishia mwisho wa msimu huu (2023/244), lakini bado hajaanza…
Simba bado kunafukuta Timu hiyo inapitia kipindi kigumu cha mpito ambacho mambo mengi yametokea na yatatokea lakini wakijipanga vizuri yatapita na wakali hao wa Msimbazi…
Mwanaspoti linajua kama mambo yataenda yalivyo, wakati wowote Simba inaweza kumpoteza kiungo wao mshambuliaji mpambanaji Kibu Denis Prosper Ni kama yuko mlangoni kuingia kwa watani…
Klabu ya Simba SC inataka si chini ya dola $100,000 (sawa na zaidi ya Tsh milioni 250) kwa kiungo mshambuliaji raia wa Cameroon, Willy Essomba…
Jina la Deivi Miguel Vieira maarufu kama Gilberto raia wa Angola anaechezea Petro Atletico Luanda linatajwa kwenda kumrithi Skudu Makhudubela huko Jangwani. Taarifa zinaeleza kuwa…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amemtazama nyota wake Pacome Zouzoua kwa dakika 20 alizompa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi…
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba KIBU DENIS PROSPER amekuwa akikacha kuongeza mkataba wake na Simba SC ambao unaisha mwisho wa msimu huu. Viongozi wa…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC kesho watakuwa na kibarua kingine cha kujiuliza baada ya kupata sare katika mchezo uliopita. Simba ambao kwa sasa inaongozwa na…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuchunguza namna ambavyo wapinzani wao, Yanga…