Habari za Simba leo
Habari za michezo

STAA HUYU BYE BYE SIMBA…AWEKWA SOKONI AL AHLY WATAJWA…ISHU NZIMA IKO HIVI

Marce Ben Komba May 2, 2024 10:53 am

Klabu ya Simba SC inataka si chini ya dola $100,000 (sawa na zaidi ya Tsh milioni 250) kwa kiungo mshambuliaji raia wa Cameroon, Willy Essomba Onana ili kumwachia katika dirisha lijalo la usajili.

Taarifa kutoka ndani ya Simba Sc zinaeleza kuwa, APR FC, Js Kabylie, Supersport na Al Ahly Tripoli zote zimeonyeshwa nia ya kutaka huduma ya vijana hao.

USAJILI WA WINGA HUYU YANGA KUTIKISA BONGO…KUSAJILIWA KWA MIL 500 HII HAOA BILIONI 1.1 YA MERIDIANBET KWENYE CASINO YA WAZDAN…UTAJIRI UKO HUKU WEWEE…