PACOME AREJEA YANGA…GAMONDI AMCHEZESHA DK 10 TU…AKOSA MECHI SABA
Hatimaye kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa. Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo…
Hatimaye kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa. Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo…
Wakati tetesi za usajili zikimhusisha beki wa Yanga, Joyce Lomalisa kujiunga na Simba mwenyewe kaibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kucheza timu yoyote Tanzania…
Kocha wa Yanga Miguel Gamondi, amevunja ukimya kwa kusema namna anavyoshangazwa na maisha ya mastaa wa timu hiyo kambini kwa muda wa mwaka mmoja aliokaa…
Beki wa Coastal Union, Lameck Lawi amefutiwa adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi kwenye mchezo dhidi ya Yanga baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi huyo…
Timu ya Simba Sports Club imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) na Yanga Sports Club nao ikitozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa…
Kiungo wa Simba Sports Club, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu (3) ya ligi na kutozwa faini ya Shilingi Milioni 1 (Tsh.1,000,000) kwa kosa la kumkanyaga…
Hakuna kitu kibaya kwenye mpira wetu kama kutengeneza balansi. Kutengeneza ulinganifu Kocha wa timu ya taifa ikiita wachezaji, kila mtu anaangalia ulinganifu wa wachezaji wa…
Rais wa Klabu ya Young Africans, Hersi Said amefunguka mbinu alizotumia kuinasa saini ya kiungo Mshambuliaji Kutoka Burkina Faso, Stephen Aziz Ki aliyekuwa akinyatiwa na…
Dakika 3 na sekunde 31 sauti ya Mjeshi Harmonize na Badgirl Spice, sijui ni kwanini ila huwa sitamani ngoma ya Miss Bantu iishe. Ni katikati…
Dakika 90 zimemalizika katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kati ya Namungo ‘The Southern Killer’ na Simba SC huku mchezo huo ukimalizika kwa sare…