FT: YANGA 3-2 AZAM FC
Habari za Yanga

YANGA HII SASA KIBOKO…ALIYEMVUTA JEZI AZIZ KI KUFUTIWA KADI NYEKUNDU

Marce Ben Komba May 1, 2024 8:54 pm

Beki wa Coastal Union, Lameck Lawi amefutiwa adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi kwenye mchezo dhidi ya Yanga baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi huyo wa kati pamoja na mwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo huo walishindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu.

Mchezo huo uliopigwa Jumamosi katika Dimba la Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam, Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, bao pekee lililofungwa na mshambuliaji Joseph Guede.

KISA KARIAKOO DABI YANGA YAPIGWA FAINI…KULIPA MAMILIONI HAYA…WAFANYA KOSA HILI GAMONDI ASHANGAZWA NA MAISHA YA MASTAA YANGA…AMEFUNGUKA HAYA