MASHABIKI SIMBA WAMNYONYA DAMU INONGA…WAMGEUZA TIBA YA KUPONEA MAUMIVU YAO
Kuna vichaka viwili kichaka cha ubora na kichaka cha ubovu, nafikiria Simba wanapaswa kukubali kujificha kwenye kichaka cha ubovu kwasababu watakuwa wanajiambia ukweli wao wenyewe…