FT:- AZAM FC 2-1 YANGA
Azam FC

FEISAL SALUM FEI TOTO AMPIGA KO AZIZ KI…VITA YA WABABE HAO YAPAMBA MOTO

Marce Ben Komba April 22, 2024 9:34 am

Bao pekee la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 13 limeipa klabu ya Azam FC ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha alama 54 katika mchezo wa 24, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa alama 4 na mabingwa watetezi, Yanga ambao pia wana mechi mbili mkononi.
Kwa upande wao lhefu SC baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na alama zao 25 za mechi 24 nafasi ya 11.

SHABIKI WA SIMBA ATOLEWA POLISI NA SHABIKI WA YANGA…AKABILIWA NA TUHUMA UCHOCHEZI MASTAA HAWA WALIOTEMWA SIMBA…WATWAA UBINGWA WA LIGI KIBABE…KOCHA ALIFARIKI