AHMED ALLY:- HATA TUKICHEZA NA TIMU NDOGO LAZIMA TUFUNGWE…MAKOSA YANAJIRUDIA..AMEFUNGUKA HAYA
Meneja wa Habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuacha makasiriko na badala yake waungane Pamoja kuisaidie timu yao…