MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA
Goli la kwanza alilofunga Mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Rivers United limechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika…
Goli la kwanza alilofunga Mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Rivers United limechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika…
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF‘ limemteua mwamuzi, Redouane Jiyed wa Morocco kuchezesha mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali, Kombe la Shirikisho barani…
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Ibrahim Najum kutoka jijini Mbeya amefariki Dunia mchana wa leo katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma (General)…
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam April 28, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo…
Pelé, ambalo ni jina la utani la gwiji wa soka marehemu Edson Arantes do Nascimento, limeingizwa rasmi kwenye kamusi likimaanisha kitu ama jambo la “kipekee,…
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amesema atahakikisha kikosi chake hafanyi makosa hata kidogo, katika michezo miwili mfululizo itakayowakutanisha na Young Africans kwenye…
Bado mpira wetu una mapungufu mengi, wala tusiache kurekebisha. Bado mpira wetu una watu wengi tu wapigaji, wala tusikae kimya. Lakini kuna mahali tumepiga hatua.…
Ibrahim Bacca amesajiliwa Yanga January 2022, Wakati huo Feisal Salum alisajiliwa Yanga July 2018. Leo Ibrahim Bacca anaboreshewa maslahi baada ya kuonesha kiwango bora huku…
Kocha wa Walinda Lango wa Simba SC Chlouha Zakaria ametumia muda mwingi kuucheza mchezo dhidi ya Wydad AC, ambao utaunguruma kesho ljumaa (Aprili 28), katika…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira amesema uwepo wa nyota kama Clatous Chama, Saidi Ntibanzokiza, Kibu Dennis pamoja na wachezaji wengine wote unampa nguvu…