ULE MGOLI WA INONGA UMEANDIKA REKODI HII…UMEVUNJA REKODI YA OKWI
BAO la kwanza lililofungwa jana na beki wa kati Henock Inonga, limeingia kwenye rekodi ya mabao ya haraka kufungwa kwenye Kariakoo Derby, akifuata nyayo za…
BAO la kwanza lililofungwa jana na beki wa kati Henock Inonga, limeingia kwenye rekodi ya mabao ya haraka kufungwa kwenye Kariakoo Derby, akifuata nyayo za…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza faini ya shilingi milioni 1 Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting FC, Renatus Shija kwa kosa la kukataa kufanya…
Jonesia Rukyaa ndiye mwamuzi wa kwanza kuchezesha derby mbili ndani ya siku 25 katika msimu mmoja huku mmoja ukichezwa Uwanja wa Uhuru na mwingine Benjamini…
Kama utani imetimia miaka 45 sasa tangu mchezaji mmoja alipofanikiwa kufunga magoli matatu ‘hat-trick’ kwenye Dabi ya Kariakoo. Ilifungwa na Abdallah ‘King’ Kibadeni mwaka 1977.…
Mechi ya Watani imeamuliwa na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa…
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania April 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazeti
JANA Aprili 16, 2023 ilikuwa dabi ya Kariakoo. Miaka 40 iliyopita tarehe kama hiyo, Simba ilikubali kichapo cha mabao 3-1. Ndio ilikuwa ni Aprili 16,…
Tuliahidi na tumetimiza Na hii ndio zawadi ya Iftar kwa Wananchi! Hii ni kauli ya Klabu ya Yanga baada ya kutangaza kumuongezea mkataba beki wao,…
Kila mchezaji wa Simba alikuwa anajaribu kumlinda Ally Salim Juma kiakili na kimwili ili aendelee kuwepo kwenye mchezo. Utaona kila alipokuwa akifanya jambo zuri karibu…
Vilabu vyenye Thamani zaidi Afrika Mashariki. 10: Gor Mahia (Kenya) – Value, $572,200 09. Tusker Fc (Kenya) – Value $596,000 08: Rayon Sport (Rwanda) Value,…