KISA AZAM TV KOCHA LIGI KUU AFUNGIWA...APIGWA FAINI...ISHU NZIMA IKO HIVI
Habari za michezo

KISA AZAM TV KOCHA LIGI KUU AFUNGIWA…APIGWA FAINI…ISHU NZIMA IKO HIVI

Marce Ben Komba April 18, 2023 11:38 am

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza faini ya shilingi milioni 1 Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting FC, Renatus Shija kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano na mtangazaji Azam TV, televisheni ya mdhamini mwenye haki ya matangazo ya televisheni.

Shija alikataa kufanya mahojiano hayo baada ya mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons FC ambapo Wazee wa Mpapaso (Ruvu Shooting) walipoteza kwa magoli 3-1.

Aidha, kocha huyo amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya shilingi milioni 1 kwa kosa la kuwatolea lugha ya matusi wafanyakazi wa Azam TV waliokuwa wakimsihi akubali kufanya mahojiano.

HUYU HAPA MWAMUZI WA KIKE…ALIYEANDIKA REKODI YA HATARI…KARIAKOO DABI ULE MGOLI WA INONGA UMEANDIKA REKODI HII…UMEVUNJA REKODI YA OKWI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply