IMEVUJA RASMI...KIPA KINDA SIMBA AWEKEWA ULINZI MZITO...ISHU KAMILI A-Z HII HAPA
Habari za michezo

IMEVUJA RASMI…KIPA KINDA SIMBA AWEKEWA ULINZI MZITO…ISHU KAMILI A-Z HII HAPA

Marce Ben Komba April 17, 2023 3:03 pm

Kila mchezaji wa Simba alikuwa anajaribu kumlinda Ally Salim Juma kiakili na kimwili ili aendelee kuwepo kwenye mchezo.

Utaona kila alipokuwa akifanya jambo zuri karibu wachezaji wote walikuwa wanaenda kumuonesha wapo pamoja nae na kile anachokifanya wanakithamini.

Ingetokea wanamfokea/kumkaripia pale alipofanya makosa inawezekana angehisi yupo golini lakini wachezaji wazoefu hawamuamini.

Lakini uwepo wa Ally Salim golini uliongeza umakini kwa wachezaji wengine kwa sababu wanatambua golikipa wao si mzoefu wa mechi za aina ile kwa hiyo jukumu lao ni kuhakikisha hafikiwi na purukushani nyingi na kama itatokea anafikiwa basi iwe hakuna namna ya kuzuia.

Mazingira ya aina hiyo ameshakutananayo Manyika Jr, Kabwili na jana ilikuwa kwa Ally Salim.

Timu nzima inakuwa makini kwa sababu wanajua kuna mtu sio mzoefu wa mechi kubwa.

HIZI HAPA KLABU 10 ZENYE THAMANI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI…CHAMA LAKO NAMBA NGAPI? YANGA YAKAMILISHA USAJILI HUU…”HII NI ZAWADI KWA MASHABIIKI WETU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply