STRAIKA HATARI BONGO ATOBOA SIRI ZA MASTAA UBELGJI…AMEZUNGUMZA HAYA
Anwary Jabir yupo Ubelgiji akiendelea kufanyiwa majaribio ya kucheza soka la kulipwa akitokea Kagera Sugar na mwenyewe amevunja ukimya kwa kusema kilichombeba hadi kupata dili…
Anwary Jabir yupo Ubelgiji akiendelea kufanyiwa majaribio ya kucheza soka la kulipwa akitokea Kagera Sugar na mwenyewe amevunja ukimya kwa kusema kilichombeba hadi kupata dili…
WAUMINI wa madhehebu ya Kikristo wakisheherekea sikukuu ya Pasaka leo, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi atakuwa kwenye ardhi ya Dar es Salaam akiwa na faili…
Straika wa Simba SC, Jean Othos Baleke aliesajiliwa wakati wa Dirisha dogo, katika mechi nne zilizopita za mashindano yote amekuwa na takwimu zinazowasisimua wengi. Takwimu…
Klabu ya TP Mazembe imemteua aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa Senegal, Lamine Ndiaye kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuchukua nafasi ya mzawa Mihayo Kazembe…
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi). Baleke alikuwa na Kiwango…
Kocha Mkuu wa Simba SC Robert Oliveira ‘Robertinho’ amesema ameanza kazi ya kuivutia kasi Wydad Casablanca ya Morocco atakayokutana nayo katika hatua ya Robo Fainali…
Dar es Salaam. Bao pekee la mshambuliaji Fiston Mayele limetosha kuipeleka Yanga katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam baada ya kuivaa…
Mlinda Lango wa Mabingwa wa Soka nchini Nigeria Rivers United, Victor Sochima amesema wanawafahamu vizuri Washambuliaji wa Young Africans Fiston Mayele na Kennedy Musonda, hivyo…
Mshambuliaji kutoka nchini Zambia na Klabu ya Simba SC, Moses Phiri ametangaza dhamira ya kurejea katika mpango wa kuisaidia klabu hiyo ya Msimbazi, baada ya…
BAADA ya kupangwa na wanaotetea taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad Casablanca ya Morocco katika mechi za robo fainali, kocha wa Simba, Roberto Oliveira…