Habari za Simba
Habari za michezo

BALEKE AWEKA REKOD YA KIBABE BONGO…PHIRI TUMBO JOTO MSIMBAZI

Marce Ben Komba April 9, 2023 10:00 am

Straika wa Simba SC, Jean Othos Baleke aliesajiliwa wakati wa Dirisha dogo, katika mechi nne zilizopita za mashindano yote amekuwa na takwimu zinazowasisimua wengi.

Takwimu za Baleke zinazomeka kama ifuatavyo;
Mechi 4
Mabao 9
Hat-trick 2
Amefunga mabao 12 katika mashindano yote tangu ulipoanza mwaka 2023, mabao mengi zaidi ya mchezaji mwingine yeyote wa Nbc Premier League.
Mechi 12
Mabao 12
Wastani wa kufunga bao 1 kwa kila mechi 1
Mabao 5 (Nbc Premier League)
Mabao 4 (Azam Sports federation cup)
Mabao 3 (Caf Champions league)

YANGA YAMFUKUZISHA KAZI KOCHA MAZEMBE…INASIKITISHA SANA KWA UNYAMA HUU WAKATI MASHABIKI WAKIWA NA HOFU NA WYDAD….MBRAZILI ATAJA WATAKAIOPELEKA SIMBA FAINAL CAF…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply