SIMBA SC “MECHI NA HOROYA NI USHINDI TU”…HUU HAPA UNDANI WA MAANDALIZI …KIBU YUPO FIT
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuanza kwa maandalizi ya mchezo wa Mzunguuko watano wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa…
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuanza kwa maandalizi ya mchezo wa Mzunguuko watano wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir ya Tunisia yapo sawa. Kwenye…
“Nilipostaafu soka nilifanya kazi tofauti, nimekuwa kondakta wa daladala, kisha nikafanya mambo ya mtaani na sasa nauza mishikaki na kacholi,” ndivyo anaanza kusimulia Kipanya Malapa,…
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda Katika kikosi hicho cha…
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuwa…
CAF imetangaza timu ya wik ya CAF Championshipi, list kamili hii hapa Tanzania tumewakilishwwa na Wachezaji wawili kutoka Simba sc. Wahezaji hao ni SHOMARI KAPOMBE…
Ushindi wa 2-3 dhidi ya Namungo FC umempa jeuri Kocha Mkuu wa Maafande wa Jeshi la Magereza ‘Tanzania Prisons’ Mohamed Abdallah ‘Bares’, ambaye ana jukumu…
Hiki ndicho kikosi cha Tanzania (Taifa Stars) chini ya Kocha mpya, Adel Amrouche kitakacho jiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2023 dhidi ya majirani…
Sunday Ramadhani Manara “Kompyuta” Ndiye mchezaji wa kwanza wa kitanzania Kucheza mpira ulaya Alizaliwa 23–11–1952 ana miaka 70 mpaka sasa Alizaliwa kigoma Alisoma shule ya…
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF ambapo zimeionyesha Simba ya Tanzania kuwa ni ya 9 kwa ubora katika klabu zote…