CAF
CLATOUS CHOTA CHAMA NDANI YA MBIO ZA KUWANIA MCHEZAJI BORA CAF CHAMPIONSHIP
Marce Ben Komba
March 14, 2023
10:10 am
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika
1. Ahmed zizo/ Zamalek
2. Clatous Chama/ Simba SC
3. Peter Shalulile/ Mamelody
4. Walid Sabbar / Raja Casablanca
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.