KWA REKODI HIZI SIMBA WASHINDWE WENYEWE TU
Wakati kocha Abdelhak Benchikha akisisitiza mechi ya leo ni sawa na fainali kwao, rekodi za Wydad kwenye mechi 10 za karibuni ugenini zinafufua matumaini kwa…
Wakati kocha Abdelhak Benchikha akisisitiza mechi ya leo ni sawa na fainali kwao, rekodi za Wydad kwenye mechi 10 za karibuni ugenini zinafufua matumaini kwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kila mchezaji aliye ndani ya kikosi cha Yanga ana umuhimu na ubora, huku akisisitiza kuwa mchezo wa kesho…
BAADA ya kumaliza mshindi wa tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii kwa wanawake iliyofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi na Simba Queens kuibuka mabingwa,…
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Huo ni…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema anafahamu mchezo wa leo dhidi ya Wydad AC itakuwa ngumu lakini ataingia kwa umakini mkubwa. Amesema, mchezo…
Hakuna namna, lazima kushinda na tusifungwe, ni kauli za makocha na wachezaji wa zamani wakiueleza mchezo wa kesho wa Simba na Wydad na ule wa…
Makocha wa timu za Simba na Wydad AC ya Morocco kila mmoja kwa wakati wake ametamba kufanya vizuri katika mchezo wa leo Jumanne. Mechi hiyo…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kikosi cha Yanga kimerudi mazoezini kujiandaa na mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana utakaopigwa keshokutwa, Jumatano, ikitoka kuiliza Mtibwa Sugar…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka EA Radio, Ibra Kasuga amefunguka kuhusu Klabu ya Yanga kuamua mashabiki zake waingie bure kwenye mchezo wao wa…