OHOO KUMBE SKUDU ANAJAMBO LAKE NA GAMONDI…… ISHU NZIMA IKO HIVI
SKUDU Makudubela nyota wa Yanga ameweka wazi kuwa hana tatizo lolote na benchi la ufundi la timu hiyo linalonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Nyota…
SKUDU Makudubela nyota wa Yanga ameweka wazi kuwa hana tatizo lolote na benchi la ufundi la timu hiyo linalonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Nyota…
MWAMBA Yao Attohoula ni baba lao kuelekea Kariakoo Dabi kwa upande wa kutengeneza pasi za mabao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ni Novemba 5…
Uongozi wa Simba SC umesema licha ya ukweli kuwa wapinzani wao Young Africans wamebadilika kiuchezaji kulinganisha na msimu uliopita, hilo haliwatishi na halitawazuia kuibuka na…
Uongozi Namungo FC umeeleza kuwa kwa sasa hawana mpango wa kutafuta kocha mpya, wakimpa nafasi zaidi aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Denis Kitambi. Kauli…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki…
Klabu ya Mashujaa imekumbana na adhabu ya kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina baada ya mmoja wa…
Wakati homa ya pambano la Watani wa jadi ikizidi kupanda, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamond amesema dakika 130 alizowaangalia Simba zimemtosha kuwasoma…
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeukataa uwanja wa Cape Coast ambao klabu ya Medeama ilikuwa imepanga kuutumia katika michezo yake ya hatua ya makundi…
Kuna msemo wa kukosea ni wakati wa kwenda sio kurudi. Hii ni kauli inayomlenga Gadiel Michael ambaye amezitumikia timu tatu kubwa za Ligi Kuu Bara.…