Habari za michezo

WALIOMSHAMBULIA SHABIKI WA YANGA KUADHIBIWA

Staff Desk November 3, 2023 10:52 am

Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa.

Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa. “Bodi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama inakamilisha mchakato wa kuwatambua mashabiki wote waliohusika na tukio hilo kabla ya kuwachukulia hatua kali,” imeeleza taarifa hiyo.

USHIRIKINA WAIPONZA TIMU YA MASHUJAA FC, WAPIGWA FAINI HII GAMONDI:- SIMBA INA UBORA WAKE…..YANGA HAIJAKAMILIKA…KUNA MAPUNGUFU MENGI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply