MANULA KUIKOSA TENA DABI YA KARIAKOO KISA HIKI HAPA
Rasmi Mlinda Lango chaguo la pili wa Simba SC, Ally Salim ndiye atakayekaa langoni katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Young Africans, ukiwa ni…
Rasmi Mlinda Lango chaguo la pili wa Simba SC, Ally Salim ndiye atakayekaa langoni katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Young Africans, ukiwa ni…
Kuna mjadala kuhusu matumizi ya Moses Phiri ndani ya kikosi cha Simba SC na unazidi kupata nguvu kutokana na uwezo wake wa kumalizia anapoipata nafasi…
Jeshi la Wananchi wa Jangwani Yao kouassi Attohoula, Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga. Yao anaweza kulinda upande mmoja wa jangwa peke yake. Atakufanya…
Taarifa kutoka ndani ya Simba SC, zinaeleza kuwa, uongozi wa timu hiyo umeweka pesa ya maana ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya Young Africans…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ACHANA na rekodi za nyuma. CAF wametaja klabu 10 kubwa kwa sasa zinazowania tuzo ya klabu bora ya mwaka 2023 Afrika. Tanzania imeingia Yanga ya…
ZIMEBAKI siku tatu kabla ya mechi kubwa nchini Simba vs Yanga, lakini kwa takwimu za kiufundi zilivyo gemu itakuwa ya ufundi mwingi na itafia kwenye…
Jumapili ya Novemba 05 mwaka 2023 mishale ya saa 11 jioni, Miamba ya Soka la Bongo (Simba SC na Young Africans) itakwenda kukutana kwa mara…
Hakuna sare Jumapili, Kariakoo Derby lazima mtu apasuke. Hii ni kutokana na kila upande kuwa na uimara katika eneo fulani uwanjani. Simba ina uimara eneo…
Ni Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewasoma wapinzani wao Simba kwa muda wa dakika 180 baada ya kuwachambua wapinzani wake.Novemba 5 Yanga wanatarajiwa kuwa…