REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA
Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita. Katika Michuano ya AFL ametoa…
Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita. Katika Michuano ya AFL ametoa…
Baada ya Simba, TP Mazembe, Enyimba na Petro de Luanda kutolewa kwenye michuano mipya ya African Football League, Juzi vigogo wanne waliobaki walicheza mechi mbili…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kiungo mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha kwamba…
Jumamosi ya Oktoba 28 Timu ya Simba ilikuwa wenyeji wa Ihefu katika Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo uliokuwa na vuta…
Simba ipo kambini ikijifua na mechi ijayo ya Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga lakini mastaa wawili wa Mnyama, washambuliaji Moses Phiri na Luis Miquissone wameonekana…
Baada ya kuteuliwa kuwa mịumbe wa Bodi ya Baraza la Ushauri Simba SC, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ ameahidi kuhakikisha lengo mama la kuisaidia klabu hiyo kwa…
Hatimaye jinamizi la makocha kukataliwa na wachezaji wa Azam FC limeibuka tena kama ambavyo hutokea kila mwaka. Katika umri wake wa miaka 15 kwenye Ligi…
Mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis ni miongoni mwa nyota tegemeo kwa sasa ndani ya kikosi cha Msimbazi. Panga pangua, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ lazima akipanga…
Wakati kiungo mshambuliaji wa Yanga kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Maxi Nzengeli akisema anajisikia furaha kuona mabao aliyofunga katika mechi ya Ligi Kuu…