ROBERTINHO AKIFUMUA KIKOSI CHA SIMBA MAPEMA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anafahamu mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly utakuwa mgumu hivyo kuna mabadiliko atayafanya kwenye kikosi.…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anafahamu mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly utakuwa mgumu hivyo kuna mabadiliko atayafanya kwenye kikosi.…
Mlinda mlango wa wa klabu ya Simba Sc, Aishi Manula ‘Air Manula’ na winga Aubin Kramo hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kitakipiga kwenye mchezo wa…
Ligi Kuu Bara inaendelea leo ambapo macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga itakapowakaribisha matajiri wa Jiji la…
“Niachieni mimi,” hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ baada ya kuulizwa maandalizi yake kuhusu mechi ya marudiano ya African Football…
Simba imewasili jijini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano ya African Football League dhidi ya Al Ahly lakini kuna mambo mawili…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

Mwakilishi wa Kampuni ya GSM kwenye msako uliozikamata jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars kwenye Ghala la Tosh Logistics lililopo Chang’ombe Dar es…
Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wala hana presha na mchezo wa marudiano akiwatumia salamu Al Ahly kuwa wanakwenda kupambana, huku akipangua kikosi. amesema “Mimi…